Michuano ya kombe la Mapinduzi inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Disemba 28 2023 Yanga ikithibitisha kushiriki michuano hiyo
Yanga imepangwa kundi C ikiwa sambamba na KVZ (Zanzibar), Vital'o (Burundi) na Bandari (Kenya)
Kundi A lina timu za Mlandege, Azam Fc, Chipukizi na URA wakati kundi B lina timu za Jamhuri, Simba, Singida BS na APR

ADVERTISE HERE