Jioni hii Yanga imekamilisha maandalizi ya mwisho Avic Town kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Medeama Fc ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Hii ni mechi ambayo lazima alama zote tatu zibaki hapa hapa Dar








ADVERTISE HERE