Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Novemba na Wadhamini wa tuzo, NIC
Pacome amekabidhiwa mfano wa hundi ya malipo yenye thamani ya Tsh 4,000,000/=
Hundi hiyo imekabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Ndg Kaimu Abdi Mkeyenge

ADVERTISE HERE