Hersi apewa heshima Kenya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Dec 2023
Hersi apewa heshima Kenya

Unaweza kusema Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ambaye pia ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, anapasua anga baada ya jana kuhudhuria mualiko maalum kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa fainali wa Kombe la Rashid Abdallah, awamu ya nne iliyofanyika Mombasa, Kenya kwenye Kaunti ya Kwale kati ya Kitivo United na Black Eagles

Hersi alipata mapokezi makubwa huko Mombasa, ambapo baadae alipata nafasi ya kuzungumza na kutoa zawadi kwa washindi

Kwa sasa Hersi ni miongoni mwa viongozi maarufu wa klabu za mpira wa miguu barani Afrika

Wengi wanapenda kujifunza kile alichofanya akiwa na klabu ya Yanga ambayo kwa sasa ni klabu maarufu barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’