Stars imekosa bahati Rwanda, yatolewa michuano ya CHAN

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
23 Jul 2017
Stars imekosa bahati Rwanda, yatolewa michuano ya CHAN
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeondoshwa kwenye raundi ya kwanza michuano ya kusaka tiketi ya mashindano ya mataifa barani Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana na Rwanda.

Stars ilihitaji kupata ushindi au sare ya kuanzia mabao 2-2 baada ya mchezo wa kwanza uliopigwa Mwanza kumalizika kwa sare ya bao 1-1 wiki iliyopita.

Katika mchezo huo Stars iliweza kupeleka mashambulizi mengi langoni mwa Rwanda lakini umaliziaji hafifu na uimara wa safu ya ulinzi ya Rwanda ulipelekea Stars kutopata bao.

Michuano hiyo ya CHAN fainali zake zitafanyika mwakani nchini Kenya.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’