Hersi kuhudhuria tuzo za mwaka CAF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2023
Hersi kuhudhuria tuzo za mwaka CAF

Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said leo usiku atakuwa sehemu ya waalikwa watakaoshuhudia tuzo za mwaka CAF

Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa vilabu vya soka Barani afrika (ACA) atakuwepo katika tuzo hizo zitakazofanyika nchini Morocco katika mji wa Marrakesh

Hersi jana alishiriki mchezo wa kirafiki uliochezwa nchini humo na alikutana na magwiji mbalimbali wa soka barani Afrika

Yanga iliingia katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya klabu bora ya mwaka lakini haikufanikiwa kupenya katika mchujo wa mwisho uliobakisha timu tatu Wananchi wakiishia kwenye tano bora

Mlinda lango Djigui Diarra pia hakufanikiwa kupenya kwenye orodha ya mwisho ya wachezaji wanaowania tuzo ya kipa bora na mchezaji bora wa mwaka (wanaocheza Afrika)

Mshambuliaji Fiston Mayele ambaye sasa anaitumikia Pyramids Fc anawania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka (wanaocheza Afrika) kutokana na mafanikio yake aliyopata na Yanga msimu uliopita akiibuka mfungaji bora wa kombe la Shirikisho (CAF CC)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
30m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’