Jezi maalum za Yanga kwa ajili ya ligi ya mabingwa zitaanza kupatikana kuanzia kesho, Ijumaa
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, jezi hizo zitapatikana Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE