Mwamuzi Yanga vs Al Ahly ni huyu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2023
Mwamuzi Yanga vs Al Ahly ni huyu

Abdel Aziz Mohamed Bouh kutoka Mauritania, ndiye refa aliyepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Yanga na Al Ahly itakayochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 1:00 usiku

Wananchi watamkumbuka mwamuzi huyu kwani msimu uliopita alichezesha mechi ya hatua ya makundi kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya TP Mazembe iliyopigwa uwanja wa Benjemin Mkapa

Mazingira ya mchezo ule hayana tofauti na mazingira ya sasa kwani Yanga ilikuwa imetoka kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya US Monastir na ilihitaji kushinda, baada ya dakika 90 Yanga ikaibuka na ushindi wa mabao 3-1

Wakati huu Yanga inakwenda kuikabili Al Ahly ikiwa imetoka kupoteza mchezo dhidi ya CR Belouizdad na itahitaji kushinda mchezo huo na pengine kurudia kile walichofanya kwenye michuano ya kombe la Shirikisho (CAF CC) msimu uliopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’