Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo wa Yanga Zawadi Mauya 'Gifted player'
Mauya ni miongoni mwa wachezaji waandamizi katika kikosi cha kocha Miguel Gamondi
Sio mchezaji anayezungumzwa sana lakini mara nyingi anapokuwa katika ubora wake, kazi yake huzungumza uwanjani
Aliaminiwa na kocha Nasreddine Nabi na hata sasa Gamondi humtumia katika eneo la kiungo pale Khalid Aucho au Mudathir Yahya wanapokosekana
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY MAUYA...!
ADVERTISE HERE