Mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam imeendelea kupendeza kwa minara ya 5G inayosimikiwa na Yanga
Wakati huu sio bango la matokeo tu, highlights za magoli yote pia zinaonekana angavu kabisa kwenye 'screen' za LED
Wale ambao maumivu yamewazidia wameshauriwa kwenda kuwaona madaktari....!
MNARA unasoma kwenye LED Screens - Morocco, Magomeni na Kilwa Road
— Young Africans SC (@YoungAfricansSC) November 15, 2023
Wananchi wanaendelea kupata burudani#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko pic.twitter.com/8pVDRnD0qx
ADVERTISE HERE