Arafat abeba tuzo Uingereza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2023
Arafat abeba tuzo Uingereza

Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Ally Haji ambaye pia ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Bima la Zanzibar ameshinda tuzo ya Insurance Corporation CEO of the Year 2023

Tuzo hizo ambazo zinatolewa na jarida la Global Brands la nchini Uingereza, akishinda katika kipengele cha Leadership Awards

Mbali na Arafat kushinda tuzo hiyo, ameliongoza Shirika la Bima la Zanzibar kushinda tuzo ya Most Reliable Insurance Corporation katika kipengele cha Insurance Awards

Hongera Arafat kwa kushinda tuzo hiyo, kwa hakika Yanga ina viongozi makini...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’