Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinzi wa kati wa Yanga Ibrahim Hamad Bacca
Beki kisiki tegemeo katika kikosi cha Yanga na sasa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'
Alikuwa ni kocha Nasreddine Nabi aliyebaini kipaji chake wakati Yanga ikishiriki michuano ya kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar wakati huo akiitumikia KMKM
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said hakuchelewa kumsajili na sasa Wananchi wanafurahia kazi yake uwanjani
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa

HAPPY BIRTHDAY BACCA!
ADVERTISE HERE