Yanga yaenda Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2018
Yanga yaenda Morogoro
Kikosi cha Yanga kimeondoka jioni ya leo Jumatatu kwenda mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Singida United.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa April 01 kwenye uwanja wa Namfua mkoani Singida

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema msafara wa wachezaji 20 na viongozi 8 wa benchi la ufundi wameondoka kwenda Morogoro.

Msafara huo hauhusishi wachezaji ambao wako na timu ya taifa inayotarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki kesho Jumanne dhidi ya DR Congo.

Wachezaji hao ni Ramadhani Kabwili, Hassani Kessy, Gadiel Michael, Kelvin Yondani na Ibrahim Ajib.

Aidha Maka Edward na Said Mussa wao pia wako kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 'Ngorongoro Heroes'.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’