Hizi tano zitaongezeka - Hersi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2023
Hizi tano zitaongezeka - Hersi

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amewashukuru Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kwa kuendelea kuiunga mkono timu yao

Hersi amesema umoja na ushirikiano huu ni ishara nzuri ya mambo makubwa zaidi kutokea katika klabu hiyo

Juzi Hersi aliweka rekodi ya kuiongoza Yanga kupata ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Simba baada ya kupita miaka 55

"Nawashukuru Wanayanga kwa kuendelea kuwa na utulivu nawahakikishia kama tutaendelea kuwa hivi kuna mambo makubwa zaidi yatatokea katika klabu yetu"

"Timu itafanya vizuri sana zaidi ya hapa, hizi tano zinaweza kuwa zaidi kama tutaendelea kupata sapoti kutoka kwa Wanachama na Mashabiki wetu," alisema Hersi

Aidha Hersi amedokeza kuwa dirisha dogo litakapofunguliwa watafanya maboresho kwa kuzingatia mapendekezo ya benchi la ufundi

"Tunafanya kazi kwa ushirikiano na benchi la ufundi, tunaelekea kwenye hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa ni wazi lazima tuboreshe baadhi ya maeneo"

"Kwa hivyo tutaongeza nguvu kwenye dirisha dogo ili kuhakikisha tunaendelea kuwa katika ubora utakaotuweka kwenye nafasi nzurii ya kushinda mataji"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’