Wakati homa ya pambano la watani wa jadi ikianza kupanda kabla ya timu hizo kuvaana Jumapili ya kesho Novemba 5, Bodi ya Ligi imetaja waamuzi watakaopewa pambano hilo litakalopigwa Uwanja wa Mkapa saa 11:00 jioni
Ahmed Arajiga ataamua dabi hiyo kama muamuzi wa kati akiwa na wasaidizi Muhamed Mkono na Kassim Mpanga na wa akiba ni Ramdhani Kayoko. Kamishana wa mchezo ni Hosea Lugano kutoka Lindi
Arajiga ndiye aliyechezesha derby ya Dar kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc Oktoba 23 Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 3-2

ADVERTISE HERE