Kariakoo Dabi ya Vijana kupigwa Kigamboni Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2023
Kariakoo Dabi ya Vijana kupigwa Kigamboni Ijumaa

Ligi Kuu ya Vijana U20 inaendelea kutimua vumbi kwenye viwanja vya Kituo cha Ufundi TFF Kigamboni jijini Dar es salaam ambapo kesho Ijumaa saa 10 jioni watani wa jadi wataumana

Mchezo huo ni wa pili kundi A kuzikutanisha timu za vijana kati ya Simba dhidi ya Yanga

Yanga inayonolewa na Kocha Vicent Barnabas ilianza michuano hiyo kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC wakati Simba walichapwa bao 1-0 na Namungo Fc katika mchezo wa kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
25m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’