Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Ally Said leo Oktoba 25 2023 wamekutana kikao cha pili cha kikatiba kwa mwaka 2023
Kikao hicho kimefanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya klabu ya Yanga






ADVERTISE HERE