Baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam Fc jana, Yanga haina muda wa kupoteza kwani wachezaji wamerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Singida BS
Mchezo huo utapigwa Ijumaa Oktoba 27 katika uwanja wa Benjamin Mkapa







ADVERTISE HERE