Aziz Ki amaliza majukumu ya Kimataifa kibabe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2023
Aziz Ki amaliza majukumu ya Kimataifa kibabe

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki jana alikuwa nyota wa mchezo akiifungia Burkina Faso bao muhimu na kutoa pasi ya bao jingine katika ushindi wa mabao 2-1 aambao Burkina Faso walipata dhidi ya Mauritania

Huo ulikuwa mchezo wa pili wa kirafiki kwa Burkina Faso ambayo ililazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Guinea ya Equator katika mchezo wa kwanza uliopigwa Oktoba 13

Aziz Ki sasa anarejea katika klabu yake ya Yanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumapili Oktoba 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya kuanza kwenye kikosi cha Mali kwa mechi nne mfululizo, mlinda lango Djigui Diarra jana hakuwa sehemu ya kikosi kilichopata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Saudi Arabia wakati kiungo Khalid Aucho jana aliiongoza Uganda katika mchezo dhidi ya Zambia wakipoteza kwa mabao 3-0

Nyota hao wanatarajiwa kurejea nchini leo kuungana na wenzao ambao wanaendelea na maandalizi Avic Town kuelekea mchezo dhidi ya Azam Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’