Baada ya mapumziko ya mwishoni mwa wiki, kikosi cha Yanga leo kimeendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumapili Oktoba 22 katika uwanja wa Azam Complex
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi leo aliwapeleka vijana wake Gym kwa ajili ya kuimarisha utimamu wa mwili







ADVERTISE HERE