Happy Birthday Kibabage

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Oct 2023
Happy Birthday Kibabage

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinzi wa kushoto wa Yanga, kiraka Nickson Kibabage

Kibabage ni mchezaji aliyelelewa katika misingi ya soka tangu akiwa mdogo, aliwahi kutamba na timu ya Taifa ya U17 akiwa na wenzake kina Aboutwalib Mshery, Kibwana Shomari na Dickson Job

Katika umri wa miaka 22, Kibabage alipata nafasi kucheza soka la kulipwa nchini Morocco kunako klabu ya Difaa El Jadida

Ni mmoja wa maingizo mapya katika kikosi cha Yanga, akitua katika dirisha la usajili lililopita akitokea Singida BS

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa

HAPPY BIRTHDAY KIBABAGE...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’