Mashabiki kuchagua mchezaji bora wa mwezi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2023
Mashabiki kuchagua mchezaji bora wa mwezi Yanga

Mwishoni mwa mwezi huu mashabiki wa Yanga watapiga kura kuchagua mchezaji bora mwa mwezi ambaye atakuwa wa kwanza kupokea tuzo ya NIC Player Of the Month

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema yatapendekezwa majina matatu ya wachezaji ambao watawania tuzo hiyo na mashabiki kuwapigia kura

Juzi Yanga ilisaini mkataba wa miaka mitatu na NIC wenye thamani ya Tsh Milioni 900 

Huo ndio mkataba wa kwanza wenye thamani kubwa kwa ajili ya tuzo tu za wachezaji

Hii ni nafasi kwa wachezaji wa Yanga kuipambania nembo ya klabu kwa jasho na damu kwani sasa kuna kitu cha ziada ambacho ni kutuzwa wa kazi yao nzuri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’