FT : Ihefu Fc 2-1 Yanga, NBC PL, Oct 04

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2023
FT : Ihefu Fc 2-1 Yanga, NBC PL, Oct 04

Tunaweza kusema uwanja wa Highland Estates sio eneo salama kwa Yanga baada ya leo tena kupoteza mchezo dhidi ya Ihefu Fc kwa kufungwa mabao 2-1

Ni vilevile kama ilivyokuwa msimu uliopita, Pacome Zouzoua aliitanguliza Yanga mapema kwenye dakika ya sita lakini Ihefu Fc wakarejea mchezoni baada ya makosa ya kufanyika kwenye eneo la Yanga

Nahodha Bakari Mwamnyeto alifanya madhambi karibu na eneo la hatari baada ya kuchelewa kuondoa mpira kwenye eneo la hatari

Mpira wa adhabu kutoka Never Tigere ulimshinda mlinda lango Djigui Diarra akishindwa kuondosha eneo la hatari na Lenny Kissu kuweka bao kimiani

Bao la pili la Ihefu Fc lilifungwa na Charles Ilanfya baada ya shambulizi la kushitukiza

Ni matokeo ya kikatili kwa Yanga lakini ndivyo mpira wa miguu ulivyo

Mchezo unaofuata kwa Yanga ni dhidi ya Geita Gold na utapigwa uwanja wa CCM Kirumba, Oktoba 07

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’