Yanga tayari kwa mechi ya kisasi Mbeya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2023
Yanga tayari kwa mechi ya kisasi Mbeya

Msafara wa kikosi  cha Yanga ulitua mkoani Mbeya majira ya usiku kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc

Kesho Jumatano Yanga itakuwa Mbarali kumenyana na Ihefu Fc katika mchezo ambao Wananchi wataingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya kipigo cha mabao 2-1 kwenye uwanja huo msimu uliopita

Licha ya kuwa na muda mfupi wa maandalizi, Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema wametua Mbeya wakiwa na lengo moja tu, kuzisaka alama zote tatu

Walter amesema wanakabiliwa na mechi mfululizo lakini upana wa kikosi unawapa matumaini kuwa watafanya vizuri katika mechi zote

Baada ya mchezo dhidi ya Ihefu, kikosi cha Yanga kitaelekea mkoani Mwanza ambapo Oktoba 07 wanakabiliwa na mchezo dhidi ya Geita Gold

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’