Kuelekea mchezo wa mkondo wa pili kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Merrikh, klabu ya Yanga leo itazungumza na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika saa 6 mchana, Salamander Tower jijini Dar es salaam
Je ni mchezaji gani anabeba hamasa kuelekea mchezo huo? Atafahamika katika Mkutano huo...

ADVERTISE HERE