FT : Yanga 1-0 Namungo Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Sep 2023
FT : Yanga 1-0 Namungo Fc

Alama tatu zimebaki kwa Wananchi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Azam Complex

Yanga ililazimika kusubiri mpaka dakika ya 88 kuandika bao pekee la ushindi lililowekwa kambani na Mudathir Yahya akimalizia pasi ya Yao

Ulikuwa mchezo wa upande mmoja ambapo Namungo Fc walipaki basi kwa karibu muda wote wa mchezo

Hata hivyo pengine Yanga ilistahili kuondoka na ushindi mnono zaidi kama Maxi Nzengeli na Stephane Aziz Ki wangetumia nafasi adimu walizopata

Yanga imerudi kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 9 na mabao 11

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’