Gates Tournament kuimarisha Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Sep 2023
Gates Tournament kuimarisha Yanga Princess

Jana timu ya Fountain Gate Princess ilishinda taji la Gates Tournament baada ya kuifunga Yanga Princess kwa mikwaju ya penalti 9-8 baada ya kumaliza dakika 90 wakifungana bao 1-1

Mashindano hayo yalikuwa na timu sita za Fountain Gate, Bunda Queens, Gets Program, Yanga Princess, Baobab Queens iliyoshika nafasi ya tatu na New Generation kutoka Zanzibar.

Timu hizo ziliwekwa kwenye makundi A na B ambapo walichuana kwa kucheza mechi mbili kila kundi kabla ya kuelekea hatua na nusu fainali na hatimaye mchezo wa fainali kuhitimishwa hapo jana

Pamoja na kuwa malengo ya Yanga Princess kushinda taji hayakutimia lakini mkufunzi wa timu hiyo Haaalubono Charles amepata muda mzuri wa kukiona kikosi chake na sasa atafanya maboresho muhimu kabla ya msimu mpya wa ligi kuu ya Wanawake kuanza

Matarajio ya Wananchi ni kuona msimu huu timu ya Wanawake inafanya vizuri kwendana na uwekezaji uliofanywa kwa timu hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’