Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi ya mwisho katika uwanja wa Avic Town kabla ya kukwea pipa kuelekea Rwanda wanakokabiliwa na mchezo wa kuwania kufuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh
Yanga inatarajiwa kuondoka Tanzania kesho Alhamisi kuelekea Rwanda








ADVERTISE HERE