Maxi 'ana-enjoy' akiwa kiungo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Sep 2023
Maxi 'ana-enjoy' akiwa kiungo

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Maxi Nzengeli amesema pamoja na kuwa na uwezo wa kutumika katika maeneo tofauti ndani ya uwanja, anafurahia akitumika kama kiungo

Maxi amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha Kocha Miguel Gamondi ambapo katika mechi tatu zilizopita Mcongomani huyo amefunga mabao manne na kutoa pasi tatu za mabao

Maxi amesema anamudu kucheza eneo lolote ambalo kocha atampanga lakini hufurahia zaidi anapocheza eneo la kiungo

"Mimi naweza kucheza popote pale kocha anataka nicheze lakini nafurahia sana ninapocheza eneo la kiungo," alisema Maxi

Aidha Maxi amesema anafurahia maisha ya Tanzania na zaidi anafurahia maisha yake ndani ya kikosi cha Yanga, anapata ushirikiano kutoka kwa wachezaji wenzake na mashabiki ambao wamekuwa chachu kubwa ya timu kufanya  vizuri

Maxi amekuwa mchezaji kipenzi cha mashabiki kutokana na tabia yake ya  kujituma sana uwanjani pengine ndiye mchezaji anayekimbia kilomita nyingi zaidi katika mechi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’