Wachezaji 11 wa Yanga wameondoka kwenda kutimiza majukumu ya timu za Taifa
Mlinda lango Djigui Diarra, Khalid Aucho, Stephane Aziz Ki na Gift Fred ni nyota wa kigeni walioitwa timu zao za Taifa
Wakati Metacha Mnata, Dickson Job, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Jonas Mkude, Mudathir Yahya na Clement Mzize wao wako kwenye majukumu ya Taifa Stars
Kutoa wachezaji 11 katika timu za Taifa sio jambo dogo, ni ishara ya ubora wa kikosi cha Yanga


ADVERTISE HERE