Pacome, Maxi ni hatari..!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2023
Pacome, Maxi ni hatari..!

Pacome Zouzoua ameanza kuonyesha kwa nini msimu uliopita alikuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Ivory Coast

Nyota huyo wa Kimataifa kutoka Ivory Coast amefunga mabao mawili katika mechi mbili zilizopita akianza na mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC

Jana akawaburuza Asas Fc akifunga bao la tatu katika mchezo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 5-1

Ilikuwa pasi murua kutoka kwa nyota wa mchezo Maxi Nzengeli ambaye katika mchezo huo pia alifunga mabao mawili

Maxi na Pacome ni kama wametengeneza uelewano wa aina yake kwani hata bao alilofunga Pacome katika mchezo dhidi ya KMC, pasi ilitoka kwa Maxi

Kwa sasa Yanga ina utajiri wa mafundi kwelikweli katika eneo la kiungo cha ushambuliaji

Pacome, Maxi na Aziz Ki wote wana sifa za kutengeneza na kufunga mabao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’