Baada ya kuanza vyema michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Asas Fc jana, siku ya Jumatano, August 23 2023, Yanga inaanza rasmi kampeni ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC
Wananchi watakuwa uwanja wa Azam Complex kuikabili KMC katika mchezo wa kwanza msimu huu
Ni mwanzo rasmi wa safari ya kulisaka taji la 30 ligi kuu ya NBC, taji la tatu mfululizo. Mchezo huo utapigwa saa 1 usiku

ADVERTISE HERE