Droo ya Makundi CAF na mtoano Shirikisho ni Jumatano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Mar 2018
Droo ya Makundi CAF na mtoano Shirikisho ni Jumatano
Baada ya kukamilika kwa raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika tayari timu 16 zilizotinga hatua ya makundi zimepatikana.

Keshokutwa Jumatano, March 21 Droo ya makundi itafanyika jiji la Cairo nchini Misri ambapo timu zitapangwa kwenye makundi manne ya timu nne nne.

Hizi hapa timu zilizofuzu



Pia sambamba na droo ya makundi ya ligi ya mabingwa, droo ya mtoano kusaka timu 16 zitakazotinga hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika itafanyika.

Droo hiyo itahusisha timu 16 zilizotolewa kwenye raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa na 16 zilizofuzu kwenye raundi ya kwanza ya kombe la Shirikisho.

Yanga ya Tanzania ni miongoni mwa timu zilizotolewa kwenye raundi ya kwanza ya ligi ya mabingwa hivyo itapangiwa mpinzani wake kutoka miongoni mwa lizizofuzu raundi ya kwanza kombe la Shirikisho.

Hizi hapa timu za mtoano



Michezo ya mtoano kwa ajili ya makundi ya kombe la Shirikisho itapigwa kati ya April 06-08 huku ya marudio ikitarajiwa kupigwa siku 10 baadae.

Timu kutoka ligi ya mabingwa zitaanzia nyumbani.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
17h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
21h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’