Waamuzi walipuuzia sheria kwenye mikwaju ya penati

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2023
Waamuzi walipuuzia sheria kwenye mikwaju ya penati

Kwa kulingana na mabadiliko ya sheria katika upigaji wa mikwaju ya penati, magolikipa wamewekewa sheria kuwa hawaruhusiwi kutoa miguu yote golini kabla ya mpira haujapigwa

Hii sheria imewekewa mkazo sana na mara nyingi tunaona kabla ya penati kupigwa, waamuzi huwafuata magolikipa kuwakumbusha na kuwaonya kwani kutoa miguu yote kabla ya mpira kupigwa ni kosa na wanaweza kuadhibiwa kwa kupewa kadi ya njano

Jana mlinda lango wa Simba Ally Salim katika penati zote za wachezaji wa Yanga alizodaka aliondoka golini mapema kabla ya wapigaji

Kama waamuzi wangekuwa makini, ilipaswa kurudiwa lakini cha kustaajabisha hakuna aliyejali

Nafikiri kuna mahali haki haikutendeka kwa wachezaji wale ambao penati zao zilidakwa pasipo sheria kufuatwa, ilipaswa zirudiwe

Lilikuwa jukumu la waamuzi kuwa makini, walishindwa kutimiza wajibu wao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’