Bahati haikuwa upande wetu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Aug 2023
Bahati haikuwa upande wetu

Ndio jambo pekee ambalo unaweza kuzungumza baada ya Yanga kushindwa kutetea Ngao ya jamii katika mchezo ambao Wananchi walitawala tangu dakika ya kwanza mpaka dakika ya 90

Bahati pekee ndio imeamua mshindi wa Ngao ya Jamii siku ya leo

Wachezaji wa Yanga leo hawakuwa kwenye ubora katika kupiga mikwaju ya penati

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ana kazi ya kuhakikisha anaiongezea makali safu yake ya ushambuliaji kwani mchezo ulipaswa kumalizika mapema leo

Tumekubali, tujipange kwa ajili ya ligi ya mabingwa na ligi kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’