NBC yaongeza miaka mitano udhamini Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Aug 2023
NBC yaongeza miaka mitano udhamini Ligi Kuu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya NBC leo wamesaini mkataba wa miaka mitano, Udhamini wa Ligi Kuu wenye thamani ya Tsh Bilioni 32.56

Hafla ya kusaini mkataba huo imefanyika leo jijini Tanga, Rais wa TFF, Wallace Karia na Mkurugenzi wa Benki ya NBC, Theobald Sabi wakisaini mkataba huo kwa niaba ya taasisi zao

Udhamini huo utahusisha pia Ligi ya Championship pamoja na ligi kuu ya vijana U20

Rais wa TFF, Wallace Karia amesema sehemu ya fedha za udhamini huo pia zitapelekwa kwenye ligi daraja la pili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’