Yanga kuanza na KMC Ligi Kuu 2023/24

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Aug 2023
Yanga kuanza na KMC Ligi Kuu 2023/24

Bodi ya Ligi Kuu leo imetangaza Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24

Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Yanga wataanza na KMC katika mchezo utakaopigwa August 23 katika uwanja wa Azam Complex

Mchezo utakaofuata August 29 ni dhidi ya JKT Tanzania na mchezo wa tatu ni dhidi ya Namungo Fc yote ikipigwa uwanja wa Azam Compleex

Mchezo wa kwanza wa watani wa jadi utapigwa Novemba 05, Simba wenyeji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
17m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’