Yanga yakanusha Msuva kuvunja mkataba

Admin By Admin
β€’
15 Jun 2017
Yanga yakanusha Msuva kuvunja mkataba
TAARIFA KWA UMMA

Klabu ya Yanga inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa zisizo rasmi zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari juu ya mchezaji wetu Saimoni Msuva.

Taarifa hizo za upotoshwaji zinadai mchezaji husika amevunja mkataba wake na Yanga kitu ambacho si kweli.

Kama klabu tunapenda kuwataarifu kwamba; klabu bado ina mkataba mrefu na Saimoni Msuva.

Tunafahamu kuna vilabu vingi vinamtaka mchezaji wetu kutokana na ubora wake na sisi kama klabu hatuna pingamizi.

Klabu yoyote ndani ya nchi na nje ya nchi inayomtaka Saimoni Msuva inakaribishwa klabuni na kufuata taratibu zote sahihi za kumnunua mchezaji. Bado Msuva ni muhimu katika klabu yetu na sisi tunapenda sana kuendelea nae lakini hatuwezi kumzuia kutafuta riziki sehemu bora zaidi kuliko kwetu.

Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano
Yong africans sports club.
15-06-2017.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’