Kambole kubakia Zesco Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2023
Kambole kubakia Zesco Fc

Mshambuliaji wa Yanga Lazarus Kambole ataendelea kuitumikia Zesco United kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu ujao, imefahamika

Awali Yanga ilimtoa Kambole kwa mkopo wa miezi sita, mkopo huo umemalizika lakini makubaliano yamefikiwa kwa Kambole kuendelea kuitumikia Zesco hadi mkataba wake na Yanga utakapomalizika

Yanga ilimsajili Kambole kutoka Kaizer Chiefs msimu uliopita hata hivyo alishindwa kuwatumikia Wananchi kutokana na changamoto ya majeraha iliyokuwa ikimsumbua

Nafasi yake ilichukuliwa na Tuisila Kisinda ambaye alitua Yanga kwa mkopo wa msimu mzima kutoka klabu ya RS Berkane huku Kambole akitolewa kwa mkopo wa miezi sita kunako klabu ya Wakiso Giants ya Uganda

Baada ya mkopo huo kumalizika, mwezi Januari 2023 Yanga ikampeleka tena kwa mkopo Zesco United ambako sasa atamaliza mkataba wa mwaka mmoja uliosalia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’