Happy Birthday Injinia Hersi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2023
Happy Birthday Injinia Hersi

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said. Mwamba huyu amehakikisha furaha ya Wananchi inabaki kileleni kwa misimu miwili mfululizo

Haishangazi kuona sasa mashambulizi mengi kutoka kwa wapinzani ni dhidi yake. Ni kwa sababu amewanyima nafasi ya kupumua

Kuna timu furaha yao imebaki mitandaoni tu, hakuna kombe wamewahi kushinda katika misimu miwili iliyopita mbele ya Yanga chini Hersi

Msimu uliopita ulikuwa bora zaidi kwa uongozi wa Hersi, Yanga ikitwaa mataji yote ya ndani pamoja na kucheza fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Msimu huu malengo ni kuona Yanga inapata mafanikio katika michuano ya ligi ya mabingwa, kwa aina ya usajili ambao Hersi ameusimamia, hakuna shaka Yanga itarudia kile ilichofanya kwenye Shirikisho msimu uliopita

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake

HAPPY BIRTHDAY ENGINEER...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’