Huyu Ngushi ni mtu hasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2023
Huyu Ngushi ni mtu hasa

Yanga ilimsajili Crispine Ngushi katika dirisha dogo la usajili 2021/22 akitokea klabu ya Mbeya Kwanza

Hakuwa na mwanzo mzuri katika kikosi cha Yanga kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu

Baada ya kupona majeraha, mwishoni mwa msimu uliopita Ngushi alianza kupata nafasi, kuelekea msimu ujao Ngushi anajifua sawasawa akiwa miongoni mwa wachezaji watakaotumikia Yanga katika mashindano mbalimbali msimu ujao

Dakika 45 alizocheza katika mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs zimewashtua wengi waliokuwa 'wakimchukulia poa'

Yule ndiye Ngushi ambaye aliivutia Yanga na kumsajili, kabla Wananchi hawakuwa wamepata fursa ya kumshuhudia katika kiwango bora

Huu unaweza kuwa mwanzo mzuri kwake, chini ya kocha Miguel Gamondi anaweza kufanya mambo makubwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
21m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’