Mkude 'ana-enjoy' maisha Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jul 2023
Mkude 'ana-enjoy' maisha Avic Town

Kiungo mpya wa Yanga Jonas Mkude ni miongoni mwa wachezaji wanaoendelea na mazoezi Avic Town kujiandaa na mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi ambao utapigwa Jumamosi, Julai 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mkude aliyesajiliwa na Yanga katika dirisha hili akitokea klabu ya Simba, anaonekana kufurahia maisha yake akiwa na Yanga

Wananchi watarajie kumuona siku ya Jumamosi pale uwanja wa Benjamin Mkapa, 'akikiwasha' katika mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs

Leo ni siku ya tano tangu Yanga ilipoanza mazoezi Avic Town, Meneja wa mabingwa hao wa nchi Walter Harrison amesema mpaka kufikia Ijumaa kikosi kitakuwa kimeiva sawasawa kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki katika siku ya Mwananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’