Yanga, Mayele ni suala la muda tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
โ€ข
16 Jul 2023
Yanga, Mayele ni suala la muda tu

Kuna asilimia ndogo kwa mshambuliaji Fiston Mayele kuendelea kuitumikia Yanga msimu ujao

Mfungaji bora huyo wa Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2022/23 pamoja na kombe la Shirikisho barani Afrika, anaweza kuibukia Misri kunako klabu ya Pyramids

Pyramids wamefikia mahitaji ya Yanga wakitajwa kuweka mezani dau la takribani Tsh Bil 2.8 pamoja na mshahara mnono kwa Mayele ambao ni mara mbili ya ule ambao Yanga walimuwekea ili kumuongezea mkataba

Mayele amebakisha mwaka mmoja tu katika mkataba wake, kama Yanga haitamuongezea mkataba au kumuuza sasa, msimu ujao ataondoka bure akiwa mchezaji huru

Mazingira haya yameiweka Yanga katika 'dilema' lakini ni wazi maamuzi ya mwisho lazima yazingatieย  maslahi kwa pande zote mbili

Kinachosubiriwa sasa ni taarifa rasmi kuhusu mshambuliaji huyo kuuzwa lakini muhimu zaidi shauku kubwa ya Wananchi itakuwa kumfahamu mshambuaji atakayetua kuchukua nafasi yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE โ†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE โ†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE โ†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE โ†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE โ†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE โ†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE โ†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE โ†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE โ†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE โ†’