Gamondi kutua wiki hii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jul 2023
Gamondi kutua wiki hii

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anatarajiwa kutua nchini wiki hii tayari kwa maandalizi ya msimu mpya 2023/24

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema wachezaji wote wanatarajiwa kuripoti kambini Avic Town Jumatatu ijayo, Julai 10

"Kocha (Gamondi) anatajiwa kuwasili nchini wiki hii. Atakapowasili tutaweka hadharani benchi lote la ufundi, wale wenye maswali kuhusu nani atakuwepo katika benchi la ufundi basi majibu yao watayapata baada ya kocha kuwasili"

"Wachezaji wote wanatakiwa kuingia kambini Julai 10 kwa ajili ya kuanza pre-season. Uamuazi wa wapi kambi yetu itakuwa nao tutautangaza wiki ijayo baada ya Kocha na Wachezaji kuwasili," alisema Kamwe

Huenda Yanga ikaweka kambi Avic Town kama ilivyofanya msimu uliopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’