Hatujafungiwa, msipotoshwe - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jun 2023
Hatujafungiwa, msipotoshwe - Kamwe

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema taarifa zinazodai Yanga imefungiwa kusajili hazina ukweli wowote

Kamwe amewataka Wanachama na Mashabiki wa Yanga wasiyumbishwe na taarifa za upotoshaji zinazosambazwa mitandaoni kila kukicha kwa sababu wanaofanya kazi hiyo wanaumizwa na mafanikio ya Yanga

"Mashabiki na Wanachama wetu waelewe, mafanikio ya timu yetu yanawaumiza wengi. Hizo taarifa zinazosambazwa kuwa Yanga imefungiwa usajili ni za uongo"

"Tuweke nguvu katika mambo muhimu yanayokuja mbele yetu. Tunaelekea kuzindua jezi, tunajiandaa na pre season na usajili mkubwa," alisema Kamwe

Yanga imewahi kukiri kudaiwa na Kocha wake wa zamani Lucy Eymael ambaye walimvunjia mkataba misimu miwili iliyopita baada ya kutoa lugha za kibaguzi

Kuna makubaliano yaliwekwa kwa Yanga kulipa deni la Kocha huyo, malipo yanafanyika kwa awamu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’