Mapato ya Yanga kwenye jezi ni zaidi ya Bil 1.8

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jun 2023
Mapato ya Yanga kwenye jezi ni zaidi ya Bil 1.8

Klabu ya Yanga ina Mkataba wa uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa jezi na GSM uliosainiwa September 12, 2022, ambao ni wa miaka mitano kwa dau la Sh. Bil. 9.5

Mkataba huo unaipa Yanga Sh. Bil. 1.5 (Bil 1.2 + 300M Bonus) kwa msimu na ongezeko la asilimia 10 kwa kila msimu katika kipindi chote cha mkataba

Lakini pia mkataba una faida ya ziada kwamba kuna kipengele kinachoipa Yanga mapato kwa kila jezi itakayouzwa katika duka la klabuΒ 

Faida ya takribani Mil 337 iliyotangazwa kwenye Mkutano Mkuu imetokana na kipengele hicho. Hii ni nje ya pesa ambayo Yanga wanavuna kutoka GSM

Hivyo0 kwa ujumla Yanga wamevuna zaidi ya Tsh Bil 1.8 kutoka GSM kutokana na mauzo ya jezi msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’