Wananchi tuchangamkie fursa hii ya jezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jun 2023
Wananchi tuchangamkie fursa hii ya jezi

Jana kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama, uongozi wa Yanga ulitangaza rasmi jezi za msimu ujao 2023/24 ziko tayari kinachosubiriwa ni uzinduzi rasmi

Aidha, wakati huu Yanga imekuja na utaratibu tofauti wa usambazaji ili kuhakikisha jezi zinapotoka, zinawafikia Wananchi kwa haraka

Fursa imetolewa kwa viongozi wa Matawi nchini nzima kuweka oda ya jezi ambapo kiwango cha chini ni nakala 120

Hii inamaana Wanachama wanaweza kujipatia jezi zao katika Matawi pale zitakapokuwa zimetoka

Viongozi wa Matawi wanapaswa kuandaa utaratibu katika Matawi yao kwa Wanachama na Mashabiki ambao wanahitaji jezi

Mawakala na Wafanyabiashara pia wanaweza kuweka oda kwa utaratibu uleule wa nakala 120 ambapo jezi zinapotoka, zitawasilishwa katika vituo vyao vya biashara

Utaratibu huu utarahisisha usambazi na upatikanaji wa jezi kwa haraka pamoja na kuondoa changamoto ya ulanguzi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’