Mchezo dhidi ya Stand United ni moja ya michezo ambayo mlinda lango namba moja wa Yanga Youthe Rostand ameonyesha kiwango cha hali ya juu.
Katika mchezo huo Rostand ameokoa mabao kadhaa ya wazi akiinufaisha zaidi Yanga kutokana na urefu wake.
Katika michezo ya hivi karibuni Rostand amekuwa akilalamikiwa kufanya makosa kadhaa ya kizembe kupelekea baadhi ya mashabiki kuondoa imani kwake.
Lakini leo amedhihirisha kwa nini yeye ni miongoni mwa walinda lango bora kabisa katika ligi kuu ya Vodacom.
Ameonyesha ni jinsi gani amekuwa akifanyia kazi malalamiko ya mashabiki akisaidiwa na kocha wa makipa Juma Pondamali.

ADVERTISE HERE