Yanga kupaa Mbeya baada ya hafla Ikulu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jun 2023
Yanga kupaa Mbeya baada ya hafla Ikulu

Baada ya kurejea kutoka Algeria usiku wa jana, leo Yanga itahudhuria mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan Dk Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es salaam

Baadae Wananchi wataelekea uwanja wa Ndege kwa ajili ya safari ya mkoani Mbeya ambako wanakabiliwa na mechi mbili za ligi kuu dhidi ya Mbeya City na Tanzania Prisons

Yanga itachuana na Mbeya City kesho Jumanne katika uwanja wa Sokoine, kwenye mchezo ambao Wananchi watakabidhiwa taji la Ligi Kuu

Juni 09 Yanga itamaliza msimu kwa kukabiliana na Tanzania Prisons kisha kuelekea mkoani Tanga kwa ajili ya mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Juni 12

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’