Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra jana aliondoka na tuzo katika mchezo wa fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger uliopigwa uwanja wa July 05 1962 Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0
Diarra alikuwa nyota wa mchezo akihakikisha Yanga inapata ushindi ambao hata hivyo ilikuwa bahati mbaya kwao kukosa taji la Shirikisho baada ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya USM Alger iliyonufaika kwa faida ya mabao ya ugenini
Katika mchezo huo, Diarra alidaka mkwaju wa penati huku akiokoa mashambulizi kadhaa ya hatari


Huyu ni mdaka mishale kweli.....!
ADVERTISE HERE